Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia karani wa Sensa kata ya Ilomba Lutengano Mwakibambo Kwa tuhuma za kutofika kituo alichopangiwa Kwa kusingizia mgonjwa baada ya kulipwaTsh600,000 kama malipo ya awali na baada ya kusikia malipo awamu ya pili yametoka alikwenda kuchukua ndipo alipokamatwa .
Hivyo jeshi la Polisi linamshikilia karani huyo Kwa uchunguzi zaidi na pindi upelelezi utakapokamilika atafikishwa mahakamani.
Karibu Iringa ,karibu Lumilo Classic Hotel and Tours
0 Comments