Header Ads Widget

RC SENDIGA : WAKURUGENZI TATUENI KERO YA MIRADI KUTOKAMILIKA

 

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mheshimiwa Queen Sendiga ametoa maagizo kwa wakurugenzi wa halmashauri kuhakikisha wanashirikiana na wataalamu kutafuta ufumbuzi utakaowezesha  miradi ya maendeleo kukamilika kwa wakati.


Mkuu huyo wa Mkoa ametoa maagizo hayo leo Jumatano (24.08.2022) mjini Sumbawanga alipoongoza kikao kazi cha kujadili utekelezaji wa maagizo mbalimbali ya serikali  kilichohudhuriwa na Wakuu wa Wilaya za Sumbawanga, Nkasi na Kalambo, Wakurugenzi wa Halmashauri, Makatibu Tawala Wilaya, Wakuu wa Idara, Seksheni na Vitengo 



Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI