"DCI mkusanyiko wa watu wanaokaa ndani bila kesi zao kusikilizwa ni mkubwa,DCI angalia haya nimekuona ukifoka toka juzi,kabla ya kumpeleka mtu ndani hakikisheni mmejiridhisha usimsweke mtu ndani kabla ya upelelezi haujakamilika"Rais Samia Suluhu Hassan
Rais Samia ametoa Kauli hiyo Leo Agosti 30,2022 mkoani Kilimanjaro wakati wa kikao kazi Cha maofisa wandamizi wa jeshi la Polisi nchini .
0 Comments