Header Ads Widget

MAKAMU WA RAIS AKIWASILI KILIMANJARO KWA ZIARA YA KIKAZI


Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Stephen Kagaigai, Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete pamoja na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Kilimanjaro wakati alipowasili mkoani humo leo tarehe 15 Julai 2022 kwa ziara ya kikazi.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI