Mahakama kuu imeanza Kusoma uamuzi wa maombi ya wabunge 18 wa viti maalum ya ridhaa ya kufungua Shauri la kupingakuvuliwa uanachama wa chama Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA),uamuzi huo unasomwa na jaji Mustapha Ismail aliyesikiliza maombi hayo
Zinakuwa mbio za kuwania taji la Kiatu cha Dhahabu kwa vizazi. Lionel Messi anaongoz…
0 Comments