Rais wa IFRC Francisco Racco amepongeza kazi nzuri sana inayofanywa na Uongozi wa Redcross Tanzania.
Rais huyo Ameahidi katika miaka yake minne ijayo ataongeza msukumo zaidi kuisaidia TRCS itimize majukumu yake.
Ameyasema hayo leo Jijini Genev,Uswizi alipofanya mazungumzo rais wa Redcross Tanzania David Kihenzile, Katibu Mkuu Felician Mutahengerwa na Balozi wa Tanzania Nchini Uswizi ambaye ni Naibu Mwakilishi wa Kudumu Nchini Uswizi Bi Hoyce Temu.
0 Comments