Rais wa Malawi Lazarus Chakwera amemsimamisha kazi makamu wake wa Rais baada ya kuhusishwa na kashfa ya ufisadi wa Dola za kimarekani Milioni 150 ambazo sawa na shilingi za kitanzania bilioni 349.95 kashfa hiyo imehusisha kandarasi 16 za Serikali nchini humo.
0 Comments