Afisa udhibiti ubora (TBS) Bi. Doris Mchwampaka akitoa elimu ya Viwango, namna ya kutuma malalamiko kupitia namba ya bure (0800110827) na umuhimu wa kusoma taarifa za kwenye bidhaa kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Maweni na msingi Oysterbay wakati wa kampeni ya kuelimisha umma wilayani Songwe..Afisa Udhibiti Ubora (TBS) Bw.Jitunze Sanga akitoa elimu kwa wafanyabiashara juu ya umuhimu wa kusajili bidhaa na majengo ya chakula na vipodozi katika stendi ya mabasi Songwe na soko la Mkwajuni wilayani Songwe. TBS inaendelea na kampeni ya kuelimisha umma katika ngazi ya wilaya iliyoanza tarehe 06.05.2022 .
Post a Comment
0
Comments
MAGAZETI
NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI
TV News
World News
UZA NUNUA NASI LEO
Subscribe Us
MATANGAZO
TIBA YA UKANDAJI WA MGONGO, KICHWA KUTOKA NEEMA BEAUTY, SPA SALOON
0 Comments