Header Ads Widget

SERIKALI YASEMA IPO TAYARI KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA (PASS)

 




Serikali ya mkoa wa mwanza imedhamiria kushirikiana vyema na taasisi ya Kuwezesha sekta binafsi ya KILIMO (PASS) Ili kusaidia kuwainua wakulima na wafugaji mkoani humo.


Akizungumza katika hitimisho la kongamano Kanda ya ziwa linalowakutanisha wadau wa sekta ya kilimo wakiwemo wafugaji na wakulima ambalo limeandaliwa na taasisi ya PASS 


Mhandisi Robert Gabriel amesema serikali ipo tayari kushirikiana na taasisi hiyo kuhakikisha elimu inawafukia walengwa ili kuongeza chachu ya maendeleo kwenye sekta ya kilimo nchini.


Hata hivyo lengo kubwa la taasisi hii ya PASS ni kuwawezesha wajasiriamali wanaojihusisha na bidhaa katika sekta ya kilimo na mifugo kupata mikopo inayostahili ambapo mpaka sasa imekwisha nufaisha wajasiriamali zaidi ya milioni 1 kama anavyobainisha Adam Kamanda mkurugenzi wa biashara kutoka PASS.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI