Header Ads Widget

RAIS MSTAAFU DR KIKWETE ASHIRIKI UCHAGUZI WA C NGAZI YA TAWI

 




Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo ameshiriki kikamilifu kwenye Mkutano wa Uchaguzi wa Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wa Tawi la Msoga, akitumia haki yake ya kuwa mwanachama hai wa CCM.


Dkt Kikwete na Wanachama wenzake wa CCM kijijini Msoga wamechagua Mwenyekiti wa Tawi, Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Tawi,Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Kata na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wilaya.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI