Timu ya Tanzania (Taifa Stars) imefanikiwa kuigagadua jumla ya goli 3 Kwa 1 timu ya Jamhuri ya Afrika ya Kati Katika mchezo wake wa kimataifa wa kirafiki .
Timu ya Tanzania ilijipatia Goli la tatu kipindi cha pili dakika za lala salama huku Jamhuri ya Afrika ya Kati ilipata goli la kufutia Machozi lililopatikana Kwa ADHABU ya penati
0 Comments