MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Iringa Mjini, Joseph Mgongolwa amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa kuziagiza taasisi za Serikali zinazokopa mikopo chechefu kutoka mifuko ya jamii nchini zirejeshe mikopo hiyo.
Sambamba na kuwasilisha michango ya wafanyakazi katika mifuko hiyo kwa wakati ili iweze kutoa huduma bora kwa wanachama wake nchini
0 Comments