Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA)Taifa Mhe. Freeman Mbowe leo Machi 30, 2022 amekutana na Mheshimiwa Raila Amolo RailaOdinga, Mgombea Urais wa Muungano wa Azimio la Umoja na Mheshimiwa Martha Karua, Kiongozi wa Chama cha NARC Kenya Jijini Nairobi
0 Comments