FidQ Naandika kama mdogo ako,wewe ni rolimodo wa watu wengi sana umejijengea heshima kubwa sana kupitia sanaa yako(narudia tena una heshima kubwa mnoo)nasikitika kuona ukitumika vibaya kwa maslahi ya wachache,tunaongea sababu tunakupenda achana na hii mission inakuchoresha -Madenge mdau Matukio Daima
0 Comments