Header Ads Widget

BINTI AMKANA AUGUSTINO LYATONGA MREMA KUWA HANA MPANGO WA KUOLEWA NAE


"Simjui Mzee Mrema na sijawahi kukutana naye. Nilikuwa nimelala asubuhi naamka nakuta missed call nyingi. Kwenye whatsap nikatumiwa Screen shot kuwa naolewa na Mrema" Neema Swai, Mwanafunzi wa CBE anayedaiwa kuolewa na Mwenyekiti wa TLP, Lyatonga Mrema.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI