Header Ads Widget

ALIYEHITIMU PhD AKIWA NA MIAKA 82 AFARIKI DUNIA

 


Dkt Samwel Mutasa ambayevalitunukiwa shahada ya uzamivu (PhD)mwaka 2020 na chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) akiwa na miaka 82 amefariki Dunia nchini Marekani .

Dkt Mutasa alikuwa gumzo Kwa kufikia mafanikio hayo baada ya kutumia miaka 41 Kusoma PhD yake ya Kemia 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI