Header Ads Widget

YANGA YAICHAPA POLISI NYUMBANI


 Yanga Sc yazidi kujiweka kilele Katika msimamo wa ligi kuu baada ya leo kuigagadua Kwenye Uwanja wake wa nyumbani timu ya Polisi Tanzania ,Yanga kupitia chezaji wake Dickson Ambundo imejipatia Goli pekee kutokana na pasi nzuri iliyopigwa na Mayele

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI