Katibu Mkuu TAMISEMI amesitisha malipo yaliyopitishwa na Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa kwa wanawake wajawazito wanaofika kujifungua katika majengo ya halmashauri hiyo yaliyopo kwenye eneo la hospitali ya wilaya maarufu kama Mwembeni.
0 Comments