Na matukio daima media
MBUNGE wa jimbo la Mbeya ambaye pia Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Tulia Akson , amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Uspika wa Bunge.
, Dkt. Tulia amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu msaidizi Mkuu Idara ya Organaizesheni, 4 Itunda katika Ofisi za Makao makuu ya CCM Dodoma.
0 Comments