Header Ads Widget

DKT. MOLLEL ASHIRIKI KUAGA MIILI YA WANAHABARI NA DEREVA MWANZA, ATEMBELEA MAJERUHI HOSPITALI YA BUGANDO

 




Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewatembelea majeruhi waliopata ajali katika msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Robert Gabriel waliolazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Ziwa Bungando.


Dkt. Mollel amewapongeza wataalam wa afya katika Hospitali hiyo kwa kutoa huduma nzuri na kuhakikisha wanaokoa maisha ya watu.



Aidha ametoa rai kwa madereva kufuata sheria za barabarani na kuwaomba wananchi kuwa mstari wa mbele kukemea na kutoa taarifa za madereva wasiofuata sheria za barabarani.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI