Kiongozi mkuu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema alipimwa kukutwa na virusi vya Corona baada ya Kupatwa na mafua,Zitto amesema Chanjo inasaidia kutopata madhara makubwa "nimekaa eneo tengwa ili kutoambukiza wengine mpaka nitakapopima tena"
Zitto ashauri watanzania kuendelea kuchukua TAHADHARI





0 Comments