Header Ads Widget

WABUNGE WA TANZANIA WAHUDHURIA KIKAO CHA SADC-PF AFRIKA KUSINI

 

Mjumbe wa SADC PF kutoka Tanzania Mheshimiwa Shally Raymond akiongoza Kikao cha Wajumbe wa Kamati mbalimbali kutoka kwenye Mabunge ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC-PF) kinachofanyika hii leo Jijini Johannesburg kupitia Mapendekezo ya Sheria ya Mfano juu ya Unyanyasaji wa Kijinsia (SADC Model law on Gender Based Violence).




Wajumbe wa SADC PF kutoka nchi mbalimbali wakiwa kwenye kikao cha Kamati za Mabunge ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC-PF) kinachokutana Jijini Johannesburg kupitia Mapendekezo ya Sheria ya Mfano juu ya Unyanyasaji wa Kijinsia (SADC Model law on Gender Based Violence). Picha na Ofisi ya Bunge

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI