Header Ads Widget

TUKIO KUBWA LA LEO ALILOFANYA SAMIA
















Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan amefunga mafunzo ya makatibu wa CCM wa wilaya na mikoa katika ukumbi wa NEC Makao Makuu ya Chama Jijini Dodoma leo Jumamosi tarehe 6 Novemba, 2021 yaliyofanyika kwa siku nne kuanzia tarehe 3 Novemba, 2021. 

(PICHA NA FAHADI SIRAJI CCM MAKAO MAKUU)



Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI