Header Ads Widget

RAIS WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MSANII MAARUFU KUTOKA NCHINI INDIA IKULU ZANZIBAR.

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Msanii Maarufu wa michezo ya Sinema kutoka Nchini India Sanjay Dutt.(kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo, 9-11-2021, akiwa na akiongozana na Makamu Mwenyekiti wa Africab Yussuf Ezzi.(Picha na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo wakati akizungumza na mgeni wake Muigizaji Maarufu wa michezo ya sinema kutoka Nchini India  Sanjay Dutt, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-11-2021

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI