Header Ads Widget

RAIS SAMIA ATUNUKU NISHANI NA SHAHADA KWA WAHITIMU WAPYA JWTZ

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu,  Samia Suluhu Hassan, akifunga mafunzo kwa wahitimu wapya katika ngazi ya Shahada ya Sayansi ya Kijeshi katika masomo ya kiraia kwa Wahitimu 61 wa JWTZ katika Mahafali ya pili ya Chuo cha Uhasibu yaliyofanyika Monduli mkoani Arusha leo tarehe 22 Novemba 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu,  Samia Suluhu Hassan, akimvalisha bawa Slt. Asnat Rashid Akbar kuashiria kuhitimu  katika kozi ya Urubani kati ya Maafisa wapya wanafunzi 56 wa JWTZ katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (Tanzania Military Academy-TMA) mkoani Arusha

Maafisa wapya wa JWTZ katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli mkoani Arusha 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi,  Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na wahitimu wapya katika ngazi ya Shahada ya Sayansi ya Kijeshi katika masomo ya kiraia katika Mahafali ya pili ya Chuo cha Uhasibu Monduli Arusha leo tarehe 22 Novemba 2021.


Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI