"Unamkamata mtu unamfunga,unamlegeza amekwisha kabisa hata akili zake zinakuwa hazifanyi kazi,halafu unamwambia leta Bilioni moja nakuachia.Hiyo sio plea bargaining,Kiingereza sahihi ni EXTORTION,unamkamua mtu akulipe pesa kwa sababu anataka kununua uhuru wake"Jenerali Ulimwengu
0 Comments