“Mama Samia Suluhu Hassan ni mteule kutoka kwa Mwenyezi Mungu, ndio maana hata haya anayofanya haijapata kutokea, tutegemee maendeleo makubwa sana kupitia Rais Samia na kila mmoja amuombee” Deo Sanga, Mbunge wa Jimbo la Makambako akiongea kwenye Tamasha la Njombe ya Mama Samia
0 Comments