Header Ads Widget

MTOTO MIAKA 4 ALAWITIWA, WA MIAKA 14 ASABABISHA KIFO



Na Hamida Ramadhan Dodoma 


 Kamanda wa Polisi Mkoa Wa Dodoma SACPO Onesmo Liango Leo November 22, 2120 Amesema Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma Linawashikilia Watoto Wawili Kwa Makosa Mawili Tofauti Moja Likiwa ni Kulawiti na Lingine Kufanya Mauwaji 


Akizungumza na Waandishi wa Habari Kamanda wa SACP Onesmo Liango Amesema Tukio la Kwanza La Kulawilti Linamusisha Mtoto wa Umri Wa Miaka 4 Aliyelawitiwa na Mtoto Mwenzio Mwenye Umri wa Miaka 16, Ambapo tukio ilo lilifanyika Katika Kata ya Mkoka Tarafa ya Zoissa Wilaya ya Kongwa 


Mtoto huyu Mwanafunzi wa Chekechea Alilawitiwa na  mwanaume Mwenye Umri wa Miaka 16 Mkazi Wa Mkoka Mtuhumiwa huyu Ambae ni Ndugu wa yake Alifanya Tukio ilo Wakati Wazazi Wa Mtoto Aliyelaeitiwa Hawapo Nyumbani .



" Baada ya Uchaguzi wa Awali Polisi Wamegundua Mtuhumiwa Alifanya Tukio hilo kutokana na Tamaaa za Kimwili na Mpaka Sasa Mtuhumiwa yupo Chini ya Ulinzi Akisubiri hatua za Kisheria Zichukuliwe dhidi yake," amesema Kamanda


Aidha Tukio lingine ni Shambulio Lililosababisha Kifo Kwa Mtoto wa Miaka 8 Mwanafunzi wa Darasa La Kwanza Katika Shule ya Nzunguni A Alishambuliwa na Mtoto Mwenzake Umri Miaka 14 Mkazi wa Nzuguni Baada ya Kumnyanyua Mwenzie Kwa Kumbamizwa Chini Ambapo Alipata Majeraha kichwani Kwa Ndani Hali Iliyopolekea Kifo Wakati Wakati Akipatiwa Matibabu Na Polisi Wanaendelea na Uchunguzi wa kina wa tukio

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI