Header Ads Widget

MRADI WA MAJI CHALINZE WAFIKIA ASILIMIA 98

Waziri wa Maji Jumaa Aweso amekagua na kuridhika kuruhusu maji yaanze kutumiwa na wananchi katika maeneo ya Chalinze ambapo miundombinu imekamilika. 


Hizi ni habari njema kwa wananchi wa Chalinze ambao kwa muda mrefu wanahangaika na shida ya maji. 

Kwa upande wa Mbunge wa Chalinze Ridhiwan Kikwete amemshukuru Hayati Rais John Magufuli kwa kuridhia kuanzisha mradi na Rais Samiah Suluhu Hassan kwa kuhakikisha anaukamilisha mradi huu.

Mbunge alieleza kutambua mchango wa wote kwa kusema kuwa kiungwana Usipomshukuru Binadamu mwenzio kwa kidogo , hauwezi mshukuru Mwenyezi Mungu kwa kikubwa.



Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI