Header Ads Widget

BREAKING :HUYU HAPA KOCHA KIWANGO WA SIMBA,WADAU WAMTABIRIA KUTODUMU SIMBA


HATMAYE Klabu ya Simba SC imefanikiwa kumpata KOCHA kiwango kutoka Hispania ni baada ya kocha wake Didier Gomes kuniondoa .

Leo Simba sc  imemtambulisha Pablo Franco Martín raia wa Hispania kuwa kocha wao mkuu akichukua nafasi ya Didier Gomes da Rosa aliyeachana na timu hiyo hivi karibuni.

Franco (41) aliyewahi kuwa kocha msaidizi Real Madrid 2018 amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Simba SC.

Kabla ya kujiunga Simba SC alikuwa kocha wa Al Qadsia ya Kuwait na amewahi kuwa kocha wa Getafe 2015.

Baadhi ya wadau wa michezo wamemwelezea Kocha huyo kuwa ni kocha bora ila wamedai kwa tabia ya soka la Bongo ni ngumu kudumu alisema Omary Sanga na Sarah John 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



BBC NEWS