Header Ads Widget

MAJALIWA ATEMBELEA KAMBI YA TEMBO WORRIORS.

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wachezaji wa Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu kwa wenye ulemavu  (Tembo Worriors ) wakati alipotembelea kambi ya timu hiyo kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Mkoani Dar es salaam Novemba 25, 2021. Timu hiyo inajiandaa na michuano ya kufuzu  Kombe la Dunia kupitia michuano ya Afrika  mwaka 2021 yanayotarajiwa kufanyika Dar es salaam kuanzia kesho na Tanzania ni Mwenyeji wa michuano hiyo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu kwa wenye ulemavu  (Tembo Worriors ) wakati alipotembelea   kambi ya timu hiyo kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Mkoani Dar es salaam, Novemba 25, 2021. Timu hiyo inajiandaa  na michuano ya kufuzu  Kombe la Dunia kupitia michuano ya Afrika  mwaka 2021 inayotarajiwa kufanyika Dar es salaam kuanzia kesho na Tanzania ni Mwenyeji wa michuano hiyo. 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI