Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imekwama kutoa maamuzi ya kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na wenzake 3 na hii ni baada ya Jaji Joachim Tiganga kueleza kutokamilika kwa majumuisho ya maamuzi.
0 Comments