Header Ads Widget

HABARI PICHA; MAKAMU WA RAIS AWASILI SINGAPORE

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip  Isdor Mpango akizungumza na Balozi wa Heshima wa Tanzania nchini Singapore Teo Sieng Seng mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Changi Nchini Singapore. Makamu wa Rais yupo Nchini Singapore kuhudhuria Mkutano wa Jukwaa la Majadiliano ya Kiuchumi (Bloomberg New Economy Forum 2021 ). Novemba 15,2021.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na Balozi wa Heshima wa Tanzania nchini Singapore Teo Sieng Seng mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Changi Nchini Singapore. Pembeni ni Balozi wa Tanzania nchini India Baraka Luvanda pamoja na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbarouk Mbarouk. Novemba 15,2021.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI