Header Ads Widget

AISHITAKI HOSPITALI MAHAKAMA BAADA YA NESI AMBAE NI MPENZI WAKE KUMSHONA VIBAYA


Mkazi  wa  Kenya Evans  Mutungi  ameishitaki Hospitali ya  maura nchini  Kenya   kwa  kitendo cha Hospitali hiyo   baada ya  nesi  wake  anayedaiwa  kuwa  aliwahi kuwa mchumba wake  kumfanyia ushonaji  usio  kuwa wa  kibinadamu   katika paji lake la uso baada ya  kupata ajali .

 Tukio hilo la kushangaza  limetokea jumatatu  ya Nov 8 mwaka 2021  baada ya  Mutugi  kupelekwa    katika Hospitali hiyo  kwa matibabu  ya dharura  baada ya kupata jali ya  pikipiki  siku ya jumamosi  Novemba 6 mwaka  huu  majira ya mchana  ambapo  wasamaria  wema  walimpeleka katika  Hospitali hiyo  na kukutana na nesi huyo anayefahamika kwa jina la Rose Kagwira (Ex wake).

 Mtugi kupitia  wakili  wake John & K Company ameishitaki  Hospitali hiyo na kudai   fidia ya  kiasi cha shilingi milioni 6.4 sawa na Tsh milioni 131.66.





Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI