Header Ads Widget

WAUMINI WA KIISLAM WASHEREHEKEA SIKUKUU YA MAULID

Kutoka Kulia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe Hemed Suleiman Abdallah, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais katiba,sheria na utumishi wa Umma, Mhe. Haruna Ali Suleiman, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi,Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Khabi, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman na mwisho kabisa ni Rais mstaafu awamu ya 7 wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt Ali Mohamed Shein  katika viwanja vya Maisara mjini Unguja kushuhudia Maulid ya Mtume Muhammad (S.A.W).

Waumini wa dini ya kiislamu wakiwa katika viwanja vya Maisara mjini Unguja kushuhudia Maulid ya Mtume Muhammad (S.A.W)

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI