Header Ads Widget

WARATIBU THRDC WAMTEMBELEA MWENYEKITI WA TUME ZANZIBAR

Na Mwandishi Wetu


Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania THRDC Onesmo Olengurumwa, Akiwa na Mratibu wa THRDC Zanzibar Bw. Abdallah Abeid  walipomtembelea Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar Bi. Khadija Mzee ambaye anatarajiwa Kuwa Mgeni Rasmi wa Mafunzo ya sheria za NGOs yatakayoendeshwa na THRDC Visiwani humo.

Mazungumzo hayo pia yamejadili namna THRDC itashirikiana na Tume ya Zanzibar Katika kufanya maboresho ya sheria mbali mbali, na Kwa Pamoja Waratibu THRDC wamepata wasaha wa kumkaribisha Mwenyekiti katika Uzinduzi wa THRDC-Zanzibar unaotarajiwa kufanyika visiwani Zanzibar hivi karibuni.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI