Header Ads Widget

HABARI PICHA: KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YAPOKEA NA KUJADILI TAARIFA KUHUSU UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA SHIRIKA LA MADINI LA TAIFA (STAMICO) NA MAENDELEO YA UWEKEZAJI WA MGODI WA STAMIGOLD

Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Dustan Kitandula akiongoza kikao cha kamati hiyo kilichopokea na kujadili taarifa kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) na Maendeleo ya uwekezaji wa Mgodi wa STAMIGOLD kikao kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Oktoba 27, 2021, Kulia ni Katibu wa Kamati hiyo, Ndg. Angelina Sanga

Waziri wa Madini, Mhe. Dotto Biteko akijibu hoja za Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakati wa kupokea na kujadili taarifa kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) na Maendeleo ya uwekezaji wa Mgodi wa STAMIGOLD kikao kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, 

Naibu Waziri wa Madini, Prof. Shukran Manya akijibu hoja za Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakati wa kupokea na kujadili taarifa kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) na Maendeleo ya uwekezaji wa Mgodi wa STAMIGOLD kikao kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma,

Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini na Mbunge wa Sengerema, Mhe. Hamisi Tabasamu akisisitiza jambo wakati wa kikao cha kamati hiyo kilichopokea na kujadili taarifa kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) na Maendeleo ya uwekezaji wa Mgodi wa STAMIGOLD tukio kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma,

Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Ameir Abdallah Ameir (Kushoto) na Mhe. Nusrat Hanje (kulia) wakiwa katika kikao cha kamati hiyo kilichopokea na kujadili taarifa kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) na Maendeleo ya uwekezaji wa Mgodi wa STAMIGOLD kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI