Mahakama Kuu ya Tanzania, leo Alhamisi, imemuamuru Mmiliki wa Gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba kumlipa Sh.6 bilioni, waziri wa zamani wa Mambo ya Nje, Bernard Membe kama fidia ya kumchafua kupitia vyombo vyake vya habari.Hukumu hiyo imetolewa na Jaji Joacquine De Mello. h





0 Comments