Header Ads Widget

UTOAJI WA LESENI YA UCHIMBAJI MKUBWA WA MADINI

MATUKIO KATIKA PICHA; HAFLA YA UTOAJI WA LESENI YA UCHIMBAJI MKUBWA WA MADINI KWA KAMPUNI YA TEMBO NICKEL CORPORATION NA UZINDUZI WA TAARIFA YA UHAMASISHAJI, UWAZI, NA UWAJIBIKAJI KATIKA RASILIMALI MADINI,MAFUTA,NA GESI ASILIA YA MWAKA 2018/2019

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akikata utepe kuzindua taarifa ya uhamasishaji, uwazi na uwajibikaji katika rasilimali madini, mafuta na gesi asilia ya mwaka 2018/2019 leo Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiangalia leseni ya uchimbaji mkubwa wa madini ya Nickel kabla ya kuikabidhi kwa kampuni ya Tembo Nickel Corporation leo Jijini Dodoma.Kulia kwake ni Waziri wa Madini Mhe.Dotto Biteko.

Waziri wa Madini Mhe.Dotto Biteko akizungumza wakati wa hafla ya utoaji wa leseni ya uchimbaji mkubwa wa madini kwa kampuni ya Tembo nickel corporation limited na uzinduzi wa taarifa ya uhamasishaji, uwazi na uwajibikaji katika rasilimali madini, mafuta na gesi asilia ya mwaka 2018/2019 leo Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akizungumza wakati wa hafla ya utoaji wa leseni ya uchimbaji mkubwa wa madini kwa kampuni ya Tembo nickel corporation limited na uzinduzi wa taarifa ya uhamasishaji,uwazi na uwajibikaji katika rasilimali madini, mafuta na gesi asilia ya mwaka 2018/2019 leo Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai, Waziri wa Madini Mhe.Dotto Biteko na Naibu Waziri wa Nishati Mhe.Stephen Byabato wakionyesha taarifa ya uhamasishaji, uwazi na uwajibikaji katika rasilimali madini, mafuta na gesi asilia ya mwaka 2018/2019 mara baada ya kuzinduliwa leo Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano, na Teknolojia ya Habari taarifa ya uhamasishaji, uwazi na uwajibikaji katika rasilimali madini, mafuta na gesi asilia ya mwaka 2018/2019 mara baada ya kuzinduliwa leo Jijini Dodoma.

Viongozi wa kampuni ya Tembo Nickel Corporation wakifuatilia uzinduzi wa taarifa ya uhamasishaji, uwazi na uwajibikaji katika rasilimali madini, mafuta na gesi asilia ya mwaka 2018/2019 leo Jijini Dodoma.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI