Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) kimemsimamisha kazi mhadhiri wa chuo hicho, Basil Mswahili kufanya majukumu yake yote ikiwa ni pamoja na kufundisha kwa tuhuma za rushwa ya ngono.Tangu jana katika mitandao ya kijamii kumekuwa na ujumbe mfupi wa maneno ukionyesha kuwa mtumishi huyo kanaswa na mmoja wa wanafunzi wa chuo hicho akitaka kupewa rushwa ya ngono ili amnasua katika mitihani ya marudio anayoifanya baada ya kufeli.
“Sio mmoja kuna wahadhiri kibao wanaofanya michezo michafu,”imeeleza sehemu ya
Comments: usahihishaji ungefanywa na waalimu wa chuo kingine na mwanafunzi akifeli apewe fursa kukata rujaa na msahihishaji awe mhadhiri wa chuo kingine kabisa kupitia wizara ya elimu vinginevyo wanachuo wasiojiamini wataharibikiwa
0 Comments