!
“Ifikapo tarehe 1/11/2021 bodaboda na bajaji zote marufuku kuingia mjini na wale waliokua mjini watoke wote isipokua bajaji za walemavu” Abdi Issango, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Mkuu wa Usalama Barabarani Kanda Maalumu ya Dar es Salaam
!
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma, leo Machi 4,…
0 Comments