Header Ads Widget

KIKAO CHA MAANDALIZI YA KUELEKEA KILELE CHA MBIO MAALUM ZA MWENGE WA UHURU - CHATO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akiongoza kikao kazi cha Maandalizi ya kuelekea kilele cha Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru kwa Mwaka 2021 zitakazohitimishwa Wilaya ya Chato Mkoani Geita Tarehe 09 Oktoba, 2021.Kulia kwake ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Fatma Hamad Rajab na Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Ofisi yake anayeshughulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu Mhe. Ummy Nderiananga

.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama  akiongoza kikao kazi cha Maandalizi ya kuelekea kilele cha Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru kwa Mwaka 2021 katika Ukumbi wa JS hotel Wilaya ya Chato Mkoani Geita Tarehe 09 Oktoba, 2021.Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Ofisi hiyo anayeshughulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu Mhe. Ummy Nderiananga.

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Ajira) Mhe Patrobas Katambi akichukua nukuu wakati wa kikao hicho.


Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. James Kajugusi akieleza jambo wakati wa kikao kazi hicho.

Wajumbe wa kikao kazi cha maandalizi ya kuelekea kilele cha Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru 2021 wakifuatilia kikao hicho kilichoongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama


Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Ajira) Mhe Patrobas Katambi akichangia jambo wakati wa kikao kazi cha Maandalizi ya kuelekea kilele cha Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru kwa Mwaka 2021 Wilaya ya Chato mkoani Geita.


 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI