| Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kongwa akifuatilia mada kuhusu Bunge zinazotolewa na Maafisa wa Bunge Shuleni hapo Mkoani Dodoma, Octoba 9, 2021 |
| Afisa Maktaba Mwandamizi, Khalid Mohamed akitoa elimu kuhusu Bunge kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Sejeli iliyopo Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma, Octoba 9, 2021. |
| Afisa Mkuu kutoka idara ya Shughuli za Bunge, Bi. Asia Minja akitoa elimu kuhusu Bunge kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kongwa iliyopo Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma, Octoba 9, 2021 |
| Katibu Kamati Mwandamizi, Bi. Pamela Pallangyo akitoa elimu kuhusu Bunge kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Sejeli iliyopo Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma, Octoba 9, 2021. |





0 Comments