JAJI Kiongozi, Mustapha Siyani aliyekuwa akisikiliza kesi ya Uhujumu Uchumi yenye mashtaka ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake amejitoa kusikiliza kesi hiyo. Sababu ya kujitoa ni kuwa na majukumu mengi kufuatia kuteuliwa na Rais Samia kuwa Jaji Kiongozi.
0 Comments