Header Ads Widget

MAGAZETINI LEO JUMATANO NOVEMBA 25.2026:MTANGAZAJI NGULI EDO BASHIRI AFARIKI DUNIA


mwanahabari Edwin Bashiri Sanga amefariki dunia katika Hospitali ya misheni Ikonda alikokuwa akitibiwa . Edwin alikuwa mtangazaji wa Radio Ebony Fm na ndio radio iliyomheshimisha zaidi na kumtambulisha kwa jamii na kuwa na umaarufu mkubwa . pia mbali ya kuwa mtangazaji hadi kifo chake alikuwa mwemezi wa CCM wilaya ya Iringa mjini .

Baadhi ya wananchi waliozungumza na Matukio Daima kufuatia kifo hicho wamesema kutokana na umaarufu wa Edo wanaomba mwili wake uagwe uwanja wa Samora ili kutoa nafasi ya wananchi wengi kumuaga mpendwa wao.
 Matukio Daima Media tunatoa pole nyingi kwa wafiwa wote.

 

FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2027 MEDALA HIGH SCHOOL IDODI IRINGA

 

 


 

KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA 0753549368 AU 0736313160

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI