Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemkaribisha Ikulu jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, Mheshimiwa Abdel Fattah El-Sisi, aliyewasili nchini kwa Ziara ya Kitaifa ya siku moja.
Na Fadhili Abdallah,Kigoma RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya siku…
0 Comments