Na Francis Godwin ,Matukio Daima Media
Ikiwa izimepita siku saba toka mwandishi wa Matukio Media Francis Godwin kuandika makala ya kero za kelele za vipaza sauti na miziki maeneo ya biashara Manispaa ya Iringa na mengine nchini , Baraza la Taifa la Hi fadhi na Usimam Mazingira (NEMC) limezitaka izi Halmashauri nchini kusima mia kikamilifu ukusanyaji na utupaji wa taka ngumu.
Pia limezitaka kuhakiki sha masharti ya vibali vya burudani wanavyotoa yana zingatiwa ili kudhibiti kelele chafuzi na kulinda afya za wananchi.
Kaimu Meneja wa Uhusiano па Mawasiliano ма wa NEMC, Martha Kawishe, wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Sa laam .
Alisema usimamizi wa kelele na mit mitetemo unasi mamiwa na Sheria ya Usi mamizi wa Mazingira, Sura ya 191 pamoja na Kanuni za Udhibiti wa kelele na Mite temo za mwaka 2015.
NEMC ina jukumu la kufanya uke aguzi. aguzi, kupima viwango vya kelele, kutoa maelekezo ya maboresho na kushughu likia malalamiko ya wananchi kuhusu changamoto za mazingira.
Mamlaka za Serikali za Mi-Kawishe alifafanua kuwa taa zina wajibu wa kusi mamia leseni na vibali vya burudani pamoja na kuhakikisha masharti yali yoainishwa yanafuatwa. Aidha, alisema OSHA in-afuatilia athari za kelele kwa afya za wafanyakazi huku Jeshi la Polisi likisaidia utekelezaji wa sheria na ku
Alisema NEMC NEMC inawa himiza waendeshaji wa bi-burudani, nyumba za ashara, vivanda, maeneo ya na shughuli za ujenzi kuz ingatia viwango vya kelele vilivyowekwa kisheria na ku-tumia mbinu za kupunguza uchafuzi wa mazingira.
Vilevile, aliwahimiza wa nanchi kuwasilisha malala-miko ya taka, kelele na changamoto nyingine za mazingira kwa mamlaka husika ili hatua stahiki zi chukuliwe kwa wakati.
Tazama makala haya chini inaeleza zaidi
MANISPAA YA IRINGA KUANZA KUCHUKUA HATUA KELELE HIZI BOFYA HAPA
HABARI YA KELELE KIAFYA BOFYA HAPA
SERIKALI IMEANZA KUCHUKUA HATUA KELELE MAENEO YA BIASHARA -MEYA BOFYA LINK HII






0 Comments