Baba Askofu wa Jimbo Kuu DSM, Mhashamu Yuda Thadeus Ruwa'ichi, OFM Cap, kwa masikitiko makubwa anatangaza kifo cha Askofu mstaafu wa jimbo kuu Dsm, Mwadhama Polycarp Cardinal Pengo (82) ambaye ameitwa mbinguni leo tarehe 19/02/2026 saa 04:00 usiku katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alipokua anapatiwa matibabu. Taarifa za mazishi zitawajia mara baada ya mipango kukamilika.
Tumuombee apumzike kwa amani. Raha ya milele umpe Ee Bwana na Mwanga wa Milele Umwangazie mongulaurent Dahh, poleni Familiar ya christu






0 Comments