WANANCHI wa Mkoa wa Kagera wakisherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya 2026 kwa shamrashamra mbalimbali, zikiwemo ngoma za asili, burudani za muziki, fataki na mikusanyiko ya kifamilia.
Shughuli hizo zilifanyika katika maeneo tofauti ya mkoa huo, yakiwemo mji wa Bukoba na maeneo ya jirani na Ziwa Victoria, ambapo wakazi walionekana wakiwa na furaha na matumaini mapya kwa mwaka unaoanza.








0 Comments