Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Dennis Lazaro Londo kuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 13 Januari,2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Richard Stanslaus Muyungi kuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 13 Januari,2026
.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhandisi Zena Ahmed Said kuwa Balozi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 13 Januari,2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhandisi Cyprian John Luhemeja kuwa Balozi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 13 Januari,2026.
Viongozi Wateule wakiapa Kiapo cha Maadili kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 13 Januari,2026











0 Comments